Nyumbani Jumuiya Kwa kifupi Historia Matata Namna ya kusaidia Kujitolea Wenzi Picha Wasiliana nasi

 

Kibera,ukiwa maskani ya zaidi ya watu millioni 1, mtaa wa mabanda wa Kibera ndio unaosifika kuwa mkubwa zaidi barani Afrika.

Mtaa huu ulio na vijiji tanzu 12 unakisiwa kuwa na robo mojo ya wakazi wote wa jiji la Nairobi, ambao wote wanakumbana na matatizo sawa ya ukata, uhaba wa vifaa bora vya kijamii kama vile vyoo, nyumba duni za vijikaratasi na panga la janga la ukimwi.

Fakaika...

SHOFCO,shirika la SHOFCO, lililoanzishwa na wakazi wa mtaa wa kibera, linawanusuru vijana wasiendelee kukaa vijiweni, kwa kuwatia tabia jazba waweze kushiriki katika shughli mbali za kujiendeleza kimaisha, hususan katika Nyanja ya michezo na masomo.

Fakaika...

 

 

June to July> Media workshop
Venue: SHOFCO Office
14th July> Civic day
Venue: Kibera
11th - 22nd September > Cultural event
Venue: Salvation Army Kibera

All 2007 Events