Nyumbani Jumuiya Kwa kifupi Historia Matata Namna ya kusaidia Kujitolea Wenzi Picha Wasiliana nasi

 

SHOFCO ni shirika la wanakijiji wa Kibera ambalo madhumuni yake ni kuwasaidia vijana wa mtaa huu wa mabanda jijini Nairobi.

SHOFCO ilivumbuliwa Februari 2006 likiwa chombo makhasusi cha kuchochea mabadiliko miongoni mwa vijana wa mtaa wa Kibera kwa kuvumbua kila mmoja uweza kuutumia vilivyo kujifanya kazi kujitegemea.Tangu lianzishwe shirika hili wanachama wake wamekua wakifanya kazi kwa kujitolea kuliko wanavyodhaniwa

 


Wanachama wa shirika  hili wana katika mtaa huu wa Kibera na lina wapa uhuru na azma ya kutegemewa na wadau  wana olisimamia.Ili liweze kutimiza malengo na majukumu yake, shirika hili lina idara nne:

    • Mawasiliano na habari
    • Michezo
    • Usanii
    • Afya na usafi wa mazingira

SHOFCO inaaminika kwamba kutoa habari sahihi kunachangia kwa kiwango kikubwa mabadiliko na hivyo basi la msingi ni kuhakikisha jamii inapata habari kama kichocheo cha maendeleo. Ni kutokana na sababu hii kwamba shirika hili  lilianzisha idara ya mawasiliano ili kutoa na kusambaza habari sahihi kwa vijana, washirika wengine na jamii kwajumla. Kualimbio yake  ikiwa “kutoa changamoto na uwezo kwa jamii ndipo iweze kujiendeleza”.

SHOFCO limesajiliwa hapa Kenya chini ya sheria na mipangilio ya wizara ya jinsia, michezo, utamaduni na huduma kwa jamii.

© 2006-2007 Shofco.org