Nyumbani Jumuiya Kwa kifupi Historia Matata Namna ya kusaidia Kujitolea Wenzi Picha Wasiliana nasi

 

HESABU  NYETI : UPASALO KUJUA  KUHUSUKIBERA

 

    • Mtaa waKibera ndio mkubwa zaidi barani Africa na una idadi ya watu wanaofikia kati ya 700,000 na milioni moja.

    • Mtaa waKibera una Hekta 250, kila Hekta moja ikibeba watu elfu mbili. Hii ina maana kwamba zaidi ya watu elfu moja mia tano wanaishi katika sehemu ya ardhi inayotoshana na  uwanja wa mpira.

    • Nusu ya wakaazi wa mtaa wa kibera wako na umri ndogo wa miaka 15.

    • Zaidi ya asilimia 15 ya wakaazi wa mtaa wa Kibera wameambukizwa viini vya HIV vinavyosabisha maradhi hatari ya ukimwi, ama wanakumbana na Ukimwi kamili.

    • Mtaa wa Kibera una vijiji 12 tanzu, kila kimoja  kikiwa idadi ya tofauti ya watu, ukubwa,  utamaduni, mchanganyiko wa dini, wamazingira.

    • Asimilia 80 ya vijana wa KIbera hawana ajira.

 

© 2006-2007 Shofco.org